Monday 17 February 2025 - 18:07
Safari ya kuona kwa karne 10 za Sayansi na Jihadi

Ili kuhifadhi urithi tajiri wa kisayansi na kidini wa Najaf al-Ashraf Haram Tukufu ya Alawi ilifungua "Makumbusho ya Milenia" katika maonyesho ya Kitabu cha mji huu. Makumbusho haya ni hati iliyo wazi ya miaka elfu moja ya shughuli za seminari ya Najaf na jukumu lake katika kukuza sayansi na utamaduni.

Kwa mujibu wa timu ya tarjama ya Shirika la Habari la "Hawza", ili kufichua undani wa urithi wa kitamaduni na kidini wa mji wa Najaf al-Ashraf, Haram Tukufu ya Alawi ilifungua "Makumbusho ya Milenia" (Kiarabu: Mat’haf al-Alfiyyah) lilifunguliwa katika maonyesho ya kimataifa ya kitabu cha Najaf al-Ashraf mnamo 2025. Kama moja ya michango maarufu ya haram hiki, makumbusho haya ni hati ya kihistoria ambayo inaonyesha mwendo wa seminari ya Najaf kwa zaidi ya miaka elfu moja.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha